+255 23 2931 568 principal@sfuchas.ac.tz

St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS)

Discipline • Diligence • Excellence

← Back to News & Events
News

NACTVET Exhibitions 2022

Legacy Import (needs re-assignment)

09 Jun 2022

Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Ali A. Hussein akipokea maelezo kutoka kwa wataalamu wetu katika banda la SFUCHAS kwenye maonyesho ya TVET yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma leo Juni 9, 2022. Maonyesho haya yanaendelea mpaka Juni 13, 2022. SFUCHAS inawakaribisha wananchi na wadau wote katika banda letu. The post NACTVET Exhibitions 2022 appeared first on SFUCHAS.